Invitation & Events Solutions

FANYA MWALIKO WAKO UWE WA KIPEKEE.

Karibu MIALIKO TZ, tunakuletea kadi za mialiko za kisasa, za kidijitali na zenye QR Code, pamoja na huduma za kitaalamu za usimamizi wa wageni katika matukio mbalimbali.

Kadi za mialiko za harusi na mwaliko wa kidijitali wenye QR Code

Tunachofanya

Huduma Zetu

Kadi za Mialiko za Kuchapishwa

Kadi za Mialiko za Kidijitali

Mialiko yenye QR Code

Usimamizi wa RSVP

Ukaguzi na Uandikishaji wa Wageni

Usimamizi wa Michango

Usimamizi wa Wageni kwa Ujumla

Angalia huduma za ziada →

Miundo

Miundo Mashuhuri ya Kadi

Bei

Vifurushi Vyetu

Chagua kati ya Non-Online au QR Online — bei hubadilika kulingana na huduma unayochagua.

Hatua 4 Rahisi

Jinsi ya Kuagiza

01

Hatua ya 1

Chagua muundo wa kadi.

02

Hatua ya 2

Chagua kifurushi kinachokufaa.

03

Hatua ya 3

Jaza taarifa za tukio lako na tuma oda.

04

Hatua ya 4

Timu yetu itawasiliana nawe kuthibitisha oda.

Kwa Nini Sisi

Kwa Nini MIALIKO TZ?

Miundo ya Kifahari

Kadi zilizobuniwa kwa umakini, zenye mvuto unaoendana na hadhi ya tukio lako.

Huduma za Kidijitali

Mialiko ya kutuma kwa simu, rahisi kushirikisha kwa wageni wako popote.

QR Code

Mialiko yenye QR Code kwa utambuzi rahisi wa wageni siku ya tukio.

Usimamizi wa Wageni

RSVP, ukaguzi wa wageni na ripoti za mahudhurio zinazoratibiwa na timu yetu.

Huduma kwa Wateja

Tunawasiliana nawe moja kwa moja kuthibitisha kila hatua ya oda yako.

Taarifa Salama

Taarifa za tukio na wageni wako zinalindwa kwa usalama.

TUPE NAFASI YA KUFANYA TUKIO LAKO LIWE LA KUMBUKUMBU.