Kuhusu Sisi

MIALIKO TZ

Tunakualika. Tunapanga. Tunafanya Tukio Lako Liwe la Kipekee!

MIALIKO TZ – Invitation & Events Solutions ni biashara ya Kitanzania inayotoa huduma za kutengeneza kadi za mialiko — za kuchapishwa, za kidijitali na zenye QR Code — pamoja na huduma za usimamizi wa wageni katika matukio kama harusi, send-off, kitchen party, mahafali, siku za kuzaliwa na matukio ya makampuni.

Mteja huchagua kifurushi na muundo wa kadi, hutuma taarifa za tukio lake, na timu yetu huandaa, huboresha, huchapisha na kuratibu kila kitu kwa niaba yake.

Dhamira Yetu

Tunachojitolea Kutoa

Miundo mizuri ya kadi

Mialiko ya kuchapishwa na kidijitali

Mialiko yenye QR Code

Usimamizi wa wageni

Huduma bora kwa wateja

TUPE NAFASI YA KUFANYA TUKIO LAKO LIWE LA KUMBUKUMBU.