Vifurushi na Bei

Kifurushi Kinachokufaa

Bei zote ni kwa Shilingi za Kitanzania (TZS). Chagua Non-Online au QR Online ndani ya kila kifurushi.

Bei ya mwisho itathibitishwa na timu ya MIALIKO TZ baada ya kupitia taarifa za oda yako.

TUPE NAFASI YA KUFANYA TUKIO LAKO LIWE LA KUMBUKUMBU.